Haba ya muda huu mpendwa msomaji wa makala za mtandao wetu wa RISE AAFRICA, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja ambae anatembelea mtandao wetu naamini kujiunga na mtandao huu kutabadilisha maisha yako ya kimafanikio hivo basi endelea kuwa nasi siku zote tushirikishane mawazo chanya ya kimafanikio. Kwa muda huu ningependa kuleta ratiba yetu ya wiki zima ambavyo tutakuwa tunaleta makala zetu.
Ratiba yetu itakuwa kama ifuatavyo:-
1 Makala yetu (kila siku).
2 Dira yetu (Jumanne).
3Afya (Jumatano).
4 Mahusiano na ndoa (Alhamisi).
5 Mujue mwanamafanikio (ijumaa).
6 Wazo la wiki (Jumamosi)
7 Tafakari (Jumapili)